Jumuiya ya Kikristo-Mkoa wa Iringa (CCT-Iringa)

Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo, Waefeso 4:32

1934

MWAKA WA KUANZISHWA

MAKANISA 12

MAKANISA WANACHAMA

MIKOA 31 BARA NA VISIWANI

MAJIMBO YALIYOFIKIWA

1966

USAJILI RAMSI

Uongozi wa CCT Iringa

Mwelekeo wa Mpango Mkakati wa 2025–2035ni wa Kichungaji unaotokana Utume wa Kanisa unaosema “enendeni Ulimwenguni Mkaitangaze Injili kwa viumbe wote” (Mk 16:15). CCT Mkoa wa Iringa ni sehemu kamili ya jamii ya Kitanzania ambayo mwelekeo wake kitaifa unafafanuliwa na mpango wa maendeleo ya Taifa (National Vision) 2025wenye lengo kuu la kuipeleka Tanzania kutoka nchi yenye uchumi duni kimaendeleo kwenda uchumi wa Kati; na kwa neema ya Mungu nchi yetu ya Tanzania iliingia kwenye Uchumi wa Kati Julai 2020, miaka mitano kabla ya wakati uliotarajiwa. Hii imeendelea kuifanya Tanzania kuwa na uchumi imara na wenye ushindani, utakaotoa fursa za kijamii na kiuchumi, utendaji bora kwa sekta ya umma na usimamizi bora wa Mazingira. Soma zaidi

 

HUDUMA ZETU

Tunachofanya Mkoani Iringa

CCT Iringa imeanzishwa kama sehemu ya utekelezaji wa shughuli za CCT katika ngazi ya Mkoa, kwa kuzingatia mwongozo wa kitaifa.

Utume na Uinjilisti

Kuimarisha umoja wa makanisa wanachama CCT, kusimamia watoto shuleni kupitia UKWATA.

Huduma za jamii

Maendeleo ya jamii

Omba huduma unayohitaji hapa:

HABARI NA MATANGAZO

Habari Mpya za CCT Iringa

Fuatilia shughuli na matukio ya hivi karibuni mkoani Iringa.

Aprili 10, 2026

Mkutano Mkuu wa CCT Iringa 2026 Uliofanyika Mjini Iringa

Viongozi wa makanisa wanachama na wadau wa mkoa walikutana kujadili mwelekeo wa programu za 2026 na kuimarisha ushirikiano.

Machi 28, 2026

Mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Vijana Mkoani

Machi 15, 2026

CCT Iringa Yaimarisha Mradi wa Kilimo Wilayani Kilolo

Februari 5, 2026

Ibada ya Watu Wazima 2026 — Mbeya: Ripoti ya Mkoa

MATUKIO YAJAYO

Kalenda ya Shughuli

Matukio muhimu ya CCT Mkoa wa Iringa kwa mwaka 2026.

CCT Day — Maadhimisho ya Kitaifa 2026

Kitaifa Mkoani Mbeya.

Semina ya Utetezi na Haki za Binadamu — Iringa

Kanisa Kuu la Iringa • Saa 9:00 Asubuhi

Mkutano wa Wanawake wa Makanisa Wanachama

Ofisi ya CCT Iringa • Saa 10:00 Asubuhi

MATUKIO KATIKA PICHA

Walimu wa Elimu ya Kikristo CCT Mkoa wa Iringa baada ya mafunzo ya CBS walifurahi kupewa ujuzi zaidi na mbinu bora kwa ufundishaji.

Soma zaidi »

Mwenyekiti wa CCT Mkoa Askofu Dr Joseph Mgomi (kulia) akiwa na Askofu Agripa Kyamajoli wa Baptist Kanda ya Iringa na Chaplain wa CCT Mkoa pamoja

Soma zaidi »

MAWASILIANO

Wasiliana Nasi

Tuko tayari kukusaidia. Wasiliana nasi kupitia njia yoyote hapa chini.

Anuani

S.L.P-Iringa, Tanzania

Simu

+255

Barua Pepe

info@cctiringa.org

Anwani

Barabara ya:

S.L.P 

IRINGA

Huduma Zetu

Viunganishi Muhimu (Links)

Kupata Habari Mpya

Jiandikishe kwa jarida letu upate habari mpya kuhusu huduma zetu.